John 11:23-25

23Yesu akamwambia, “Ndugu yako atafufuka.”

24 aMartha akamjibu, “Ninajua ya kuwa atafufuka wakati wa ufufuo wa wafu siku ya mwisho.”

25 bYesu akamwambia, “Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa atakuwa anaishi
Copyright information for SwhNEN